1522061116
InspireFikra Podcast

Advertise on podcast: InspireFikra Podcast

This podcast has
1 episodes
Language
English
Explicit
No
Date created
2020/07/03
Latest episode
2025/09/09
Average duration
3 min.
Release period
- days

Description

Je, wewe ni Mfanyabiashara, Mfanyakazi wa Taasisi ya Umma/binafsi au ni  Mwanafunzi? Je, umekuwa ukihisi kuna kitu kinakosekana katika maisha yako na katika kazi unayofanya? Huenda huo ukawa wito wa mwaliko kutoka kwa Muumba wako, akikualika kujaribu mapenzi na kusudi lake katika maisha yako. Unajiuliza Sasa ufanyaje? Naam, ndiyo sababu tuko hapa. Kazi yetu ni kuhamasisha Mabadiliko ya mtu binafsi kwa kufanywa upya Akili na Mtindo wa Maisha kupitia mafundisho ya neno. Ili, uweze kuwa Wakili Mwema, Mwenye Hekima na Mwaminifu kupitia Kazi/nafasi uliyonayo kwaajili ya Ufalme wa Mungu.

Unlock InspireFikra Podcast podcast Email contact info,
Listeners & Audience details

Email contact information

Direct podcast contact details

Listeners

Audience numbers & engagement insights

Audience details

Podcast Insights

Podcast episodes

Check latest episodes from InspireFikra Podcast podcast


Karibu InspireFikra
2025/09/09
Episode hii inahusu utangulizi Ili upate kufahamu InspireFikra ni nini? lengo lake ni lipi na ni kwaajili ya nani? Nina imani baada ya kusikiliza utachukua uamuzi sahihi wa kuwa Mshirika wa kudumu wa Jukwaa hili. Utakua nami Mrs. Agnes Gabriel Sanga, Kila siku ya Jumatatu, Jumatano na Ijumaa, saa tatu kamili asubuhi. Karibu sana!

Podcast reviews

Read InspireFikra Podcast podcast reviews


0 out of 5
0 reviews

Podcast sponsorship advertising

Start advertising on InspireFikra Podcast relevant audience podcasts


What do you want to promote?