1566542253
Lishe Points

Advertise on podcast: Lishe Points

This podcast has
14 episodes
Language
English
Date created
2021/05/07
Latest episode
2021/12/13
Average duration
18 min.
Release period
20 days

Description

Lishe points ni kipindi cha elimu lishe,kwa lugha ya kiswahili. Kipindi kinachotumiwa na wataalamu bobezi wa afya na lishe kueleza namna ya kuboresha kinga mwili, Tiba kupitia lishe na namna ya kuboresha matumizi mazuri ya makundi ya chakula kuboresha afya. Karibu ujifunze kila Jumatatu na Alhamisi

Unlock Lishe Points podcast Email contact info,
Listeners & Audience details

Email contact information

Direct podcast contact details

Listeners

Audience numbers & engagement insights

Audience details

Podcast Insights

Podcast episodes

Check latest episodes from Lishe Points podcast


Weight loss (Kupungua Uzito)
2021/12/13
Kwanini kupungua uzito ni hitaji la watu? Nini tuzingatie ili kupungua uzito bila kuathiri afya zetu kwa ujumla? Karibu ujifunze vyema kupitia sehemu hii ya vipindi vya lishepoints.
Weight Gain(Kuongeza Uzito/Mwili)
2021/12/09
Je unajua vyakula vinavyofanya usiongezeke uzito? Je unajua namna ya kuongeza uzito kwa kutumia Lishe? Sikiliza kwa kipindi hiki ujifunze zaidi
Lishe Kipindi cha Ujauzito (Nutrition in Pregnancy)
2021/12/02
Umuhimu wa lishe bora kwa mama mjamzito,ulaji katika siku 1000 za ukuaji wa mtoto tangu utungwaji wa mimba unavyochangia ukuaji wa mtoto
Maji na Afya
2021/10/07
Maji si kundi la chakula lakini ni muhimu sana kwa afya ya binadamu. Fahamu umuhimu wa maji kwa kusikiliza kipindi hiki. #majiniuhai
Asusa (Snacks)
2021/09/13
Asusa ni nini? Mchango wake ni upi katika kuimarisha afya ya mwili? Sikiliza sehemu hii ujifunze zaidi.
Vijana na Lishe Bora
2021/08/12
Fahamu juu ya lishe bora kwa vijana kupitia sehemu (episode) hii. #lishepoints
Makundi ya Chakula (Food Groups)
2021/08/09
Ulaji wa milo yenye mchanganyiko wa vyakula kutoka makundi yote ya chakula ni muhimu katika kuimarisha hali ya lishe na afya ya binadamu. Jifunze zaidi juu ya makundi haya ya chakula kupitia episode hii.
Ulaji na Hedhi Salama
2021/06/21
Jifunze juu ya ulaji sahihi katika kuimarisha afya ya mwili na kupata hedhi salama.
Afya ya Kinywa (Oral Health)
2021/05/27
Matumizi ya vyakula sahihi kutoka kwenye makundi yote matano ya chakula husaidia katika kulinda na kuimarisha afya ya vinywa vyetu. Jifunze zaidi kuhusu afya ya kinywa kupitia kipindi hiki.
Kisukari (Type2 Diabetes)
2021/05/24
Ugonjwa wa kisukari ni ugonjwa wa kudumu na hauna tiba ya kumponya mtu moja kwa moja. Jua zaidi juu ya ugonjwa wa kisukari kupitia hii episode.
Shinikizo la Chini la Damu (Low Blood Pressure/ Hypotension)
2021/05/20
Shinikizo la chini la damu ni moja kati ya magonjwa yanayoweka afya ya moyo wa binadamu katika hatari kubwa. Vyakula na mtindo wa maisha huchangia kusababisha kutokea kwa ugonjwa huu. Fahamu zaidi juu ya ugonjwa huu kupitia podcast hii.
Shinikizo la Juu la Damu (High Blood Pressure/Hypertension).
2021/05/17
Shinikizo la juu la damu ni moja kati ya magonjwa sugu yasio ya kuambukizwa, kwa jina lingine huitwa muuaji wa kimya kimya (silent killer). Visababishi vikuu huwa ni vina saba(genes),mpangilio wa milo na mitindo ya maisha(lifestyle). Fahamu zaidi jinsi ya kudhihiti na kuepukana na ugonjwa huu.

Podcast reviews

Read Lishe Points podcast reviews


0 out of 5
0 reviews

Podcast sponsorship advertising

Start advertising on Lishe Points relevant audience podcasts


What do you want to promote?