
Advertise on podcast: Jua Haki Zako
This podcast has
26 episodes
Language
EnglishPublisher
RFI KiswahiliExplicit
No
Date created
2021/07/01
Latest episode
2026/01/27
Average duration
11 min.
Release period
8 days
Description
Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.
Unlock Jua Haki Zako podcast Email contact info,
Listeners & Audience details
Email contact information
Direct podcast contact details

Listeners
Audience numbers & engagement insights

Audience details
Podcast Insights

Podcast episodes
Check latest episodes from Jua Haki Zako podcast
Kenya: Hatua za kutafuta haki kwa dhulma za kinadada mtaani Mathare
2026/01/27
Kwa miaka mingi Beatrice Karole amekuwa akijitolea kuhamasisha jamii kuhusiana na hatua za kuchukua wakati wanapokabiliana na unyanyasaji wa jinsia. Akiwa na shirika la kinamama la Wanawake Mashinani Initiative katika eneo la Mathare Jijini Nairobi, amefanikiwa kuwaokoa jumla ya wanawake na watoto 30 katika mwaka 2025 ambao anajivunia kuwa licha ya kunyanyaswa, walipata haki yao.
Kenya: Wakulima wadogowadogo washinda kesi ya Sheria ya Mbegu na Mimea dhidi ya KEPHIS
2026/01/25
Nchini Kenya, Sheria ya Mbegu na Mimea (The Kenya Seed and Plants Varieties Act), ambayo ilitishia kuwatoza faini na kuwafunga jela wakulima wadogo kwa kugawana mbegu ambazo hazijaidhinishwa, iliamuliwa kuwa kinyume cha katiba.
Mahakama ya Kikatiba katika kaunti ya Machakos nchini Kenya ilitoa uamuzi wa kihistoria Novemba 27 2025 kuhusu uhalali wa Sheria ya Mbegu na Aina za Mimea.
George Ajowi amekuwa akifuatilia kesi hii na kuandaa taarifa ifuatayo.
EAC : Dhuluma za kijinsia bado ni changamato kote duniani
2026/01/10
Makala haya yanaangazia namana gani dhuluma za kijinsia zinaweza kabiliwa.
skiza kufahamu mengi zaidi.
Kenya : Biashara ya ngono miongoni mwa vijana ni donda sugu
2026/01/07
Juhudi za pamoja zinaendelezwa ili kukomesha biashara haramu ya wototo pwani ya Kenya.
Kufahamu mengi zaidi skiza makala haya.
Kenya : Ahadi ya serikali kwa jamii za wachache
2025/12/23
Kila disemba 18 dunia huadimisha siku ya Kimataifa ya Jamii za Walio Wachache siku inayolenga kuzikumbusha serikali na jamii wajibu wa kulinda haki, heshima na ushirikishi wa makundi ambayo kwa miaka mingi yamekuwa yakidai kuachwa nje mipango ya serikali
Nchini Kenya, jamii za walio wachache, zikiwemo jamii za wafugaji wanaohamahama, zimekuwa zikidai hazitambuliwi kikamilifu, kukosa huduma za msingi, na kutengwa katika maamuzi muhimu ya kitaifa.
Makala haya yanaangazia mipango ya serikali ya Kenya kwa jamii hizo.
Mpango wa kidijitali uliokwama unavyowanyima wanafunzi elimu ya kisasa Kenya
2025/12/21
Mwaka 2016, Serikali ya Kenya ilizindua Mpango wa Mafunzo kwa Njia ya Kidijitali (DLP), ikiahidi kubadilisha elimu ya msingi ya umma kupitia teknolojia. Awamu ya kwanza ikigharimu walipa kodi zaidi ya Shilingi bilioni 30, huku kukiwa na mpango wa kupanua mradi huo kwa makadirio ya Shilingi bilioni 64. Takribani miaka kumi baadaye, mpango huo unazidi kukabiliwa na matatizo makubwa na hatimaye kukwama hivyo kuwanyima wanafunzi wa shule za msingi haki zao za kupata elimu ya kidijitali.Sikiliza
Kenya : Haki ya wafanyakazi nje ya nchi
2025/12/19
Katika Juhudi za raia wa Africa Kutafuta ajira nje ya nchi wengine wamejipata katika njia panda.
Lakini ubalozi wa Austria nchini Kenya, unasisitiza taifa hilo ni salama kwa wafanyakazi wa kigeni.
Skiza makala haya.
EAC : Haki ya matumizi ya mitandao
2025/12/02
Je unafahamu haki zako wakati unatumia mitandao? na Je unafahamu kwamba haustahili kuvuka kiwango fulani wakati unatumia mitandao?
Paul Brain ni mtaalamu wa matumizi ya mitandao anafanunua masharti ya matumizi ya mitandao.
Kenya: Msimamo wa wavuvi wa Lamu kuhusu mbinu za kuvua samaki
2025/11/29
Kwa muda sasa wavuvi kutoka kaunti ya Lamu, nchini Kenya, wamekuwa wakizozana na serikali kuhusiana na mbinu za kisasa wa uvuvi kutokana na misimo wa serikali kuwataka watumie technolojia katika uvuvi.
Mwaka 2016 serikali ya Kenya ilipitisha sheria ya kuwataka wavuvi kutumia mbinu za kisasa kuendesha shughuli za uvuvi lakini hili limeibua changomoto miongoni mwa wavuvu wanaosisitiza kutumia mbInu za kale kuendesha shughuli za uvuvi kutokana na sababu kadhaa.
skiza makala haya kufahamu mengi zaidi.
Kenya : Ukeketaji bado changamato Africa
2025/11/20
Katika maeneo ya wafugaji wa kuhamahama nchini Kenya, mila na
desturi bado zinaonekana kupewa kipaumbele kuliko elimu – hali
inayowafanya wasichana kuwa katika hatari kubwa ya kukeketwa.
Wasichana wengi hukatizwa masomo na kulazimishwa kufuata
tamaduni zinazokiuka haki zao, huku ukeketaji ukiendelea kufanywa
kwa usiri mkubwa licha ya juhudi za serikali na wadau kutoa elimu
na kupiga marufuku tendo hilo.
Takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonyesha kuwa
ukeketaji wa wasichana na wanawake wenye umri wa miaka 15
hadi 49 bado ni tatizo linaloripotiwa nchini Kenya.
Katika makala haya tunaangazia namna tamaduni
hizi zimeendelea kushamiri katika jamii za wafugaji wa kuhama
hama na jinsi zinavyomnyima mtoto wa kike haki yake ya kupata
elimu na kuishi bila unyanyasaji.
Matumizi ya hadithi kupigania haki
2025/11/17
Katika makala haya tunangazia safari ya kutetea haki za binadamu kwa kutumia hadithi sauti moja, uzoefu, na ujasiri wa mtu kusimulia alichopitia.
Tasisi ya Moth, imekuwa ikitumia hadithi kama si tu kwa mudhadha wa burudunai bali ni daraja linalounganisha ukweli wa mtu mmoja na uelewa wa dunia nzima.
Hadithi nyingi ni za binafsi, lakini hisia zinazozibeba—hofu, matumaini, maumivu au ushindi—ni za ulimwengu mzima.
Skiza makala haya kufahamu mengi.
Mila zanakandamiza wanawake nchini Kenya
2025/11/17
Mila na tamaduni kutoka jamii mbalimbali nchini Kenya, zimezidi kukandamiza wanawake kutoridhi mali.
Pwani ya Kenya, changamoto hiyo pia imeathiri wanawake wajane skiza makala haya kufahamu mengi zaidi.
DRC : Ukatili wa jinsia wakithiri
2025/10/28
Skiza makala haya kufahamu mengi
DRC : Haki za raia wanaoishi na ulemavu Goma, DRC
2025/10/25
Katika makala haya shaba yetu inalenga nchini DRC hasa eneo la Mashariki, ambapo tunajadili haki za malemavu eneo hilo.
Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mamia ya watu wenye ulemavu wamejikuta wakihangaika kuokoa maisha yao, kipindi hiki vita vikiendelea kusheheni eneo hilo.
Miji kama Goma, Rutshuru na Sake imeshuhudia maelfu wakikimbia maakazi yao. Lakini kwa wengi wenye ulemavu, kukimbia si jambo rahisi.
Wengine wanatembea kwa magongo, wengine hutumia viti vya magurudumu ambavyo haviwezi kuvuka matope, milima, au mabonde.
Skiza makala haya kufahamu mengi
Uganda : Uchaguzi raia wanafahamu haki zao
2025/10/18
Uchaguzi nchini Uganda, unatarajiwa kufanyika mwezi January, Rais Museveni akichuana tena na Hasimu wake wa kisiasa mwanamziki aliyeukia siasa, Bobi Wine.
Skiza makala haya kufahamu mengi.
Podcast reviews
Read Jua Haki Zako podcast reviews
Podcast sponsorship advertising
Start advertising on Jua Haki Zako relevant audience podcasts
You may also like to advertise on these Podcasts

4.7535420
Religion on the Mind
Dan Koch

4.7952562
Ride the Lightning: Tesla and EV Podcast
Ryan McCaffrey

4.420131306
History Daily
History Daily

4.414755969
The Bossticks
Lauryn Bosstick and Michael Bosstick / Dear Media

4.748681017
Forever35
Doree Shafrir & Elise Hu

4.3246500
Locked On Reds - Daily Podcast On The Cincinnati Reds
Locked On Podcast Network, Jeff Carr, Steven Offenbaker

3.44591090
Palace Intrigue : Royal Family gossip
Caloroga Shark Media / The Daily Royal Family Podcast

4.71923553
The StoryBrand Podcast
StoryBrand.com

4.278112003
Crime Stories with Nancy Grace
iHeartPodcasts and CrimeOnline

4.712619350
The Tim Dillon Show
The Tim Dillon Show