
Advertise on podcast: Siasa
This podcast has
11 episodes
Language
EnglishPublisher
The Standard Group PLCExplicit
No
Date created
2021/07/26
Latest episode
2023/04/26
Average duration
17 min.
Release period
71 days
Description
Ni kitengo kinachohusu mijadala mipevu, uchambuzi na maoni kuhusu siasa na wanasiasa.
Unlock Siasa podcast Email contact info,
Listeners & Audience details
Email contact information
Direct podcast contact details

Listeners
Audience numbers & engagement insights

Audience details
Podcast Insights

Social media
Check Siasa social media presence
Podcast episodes
Check latest episodes from Siasa podcast
Hali ya siasa Afrika Mashariki na mizozo ya DRC na Sudan: Kulikoni Podcast
2023/04/26
Katika msururu wa leo wa kipindi cha Kulikoni, Prof Monda anaongea na Bwana Goodluck Paul, mwandishi wa masuala ya diplomasia anayefanya na runinga ya Azam kutoka Taifa la Tanzania. Wanaangazia siasa za Afrika mashariki na mizozo ya DRC na Sudan. Karibu!
Nilikuwa darasa moja na Dr. Ruto, Rais Mteule
2022/08/17
Esther Cherobon alikuwa katika darasa moja na Rais Mteule, William Ruto katika Shule ya Msingi ya Kamagut kwenye Eneobunge la Turbo katika Kaunti ya Uasin Gishu.
Cherobon anasema kuwa Ruto alikuwa mwerevu sana shuleni na alipofanya mtihani wa wa CPE mwaka 1980 aliibuka wa kwanza kwenye eneo zima kwa kupata alama 33 juu ya 36.
Anasema wazazi wa Ruto walikuwa waanzilishi wa kanisa la AIC hivyo kumkuza pamoja na nduguze kwa kuzingatia dini.
Licha ya kulelewa katika mazingira ya umasikini, Ruto alitia bidii masomoni akilenga kubadili hali yake na ya familia yake.
Faith Kutere amemhoji kwenye Siasa Podcast wiki hii.
Daily Brief Podcast; Is Uhuru learning from DP Ruto? Episode 1
2022/06/20
Was the chaos in Jacaranda a prelude to what could happen nationally after the August 9th polls? Who was to blame for the altercation that saw UDA aspirant, Francis Mureithi injured? In a separate incident, President Uhuru donates Sh10 million to the Akorino church and offers them a piece of land worth more than Sh100 million. Is this a case of trying to gain political mileage in church or is the head of state honouring the now 100-year old religious faction? We also dissect the remarks of Moses Kuria targeting DP Ruto and his UDA party and the viral video of Kabogo campaigning for Raila Odinga. Is this a case of betrayal in the mountain or are the Kiambu politicians just trying to get the attention of DP Ruto? Kimani Mbugua takes a look at all these and more on the Standard podcast.
Uteuzi tata hadi mgombea huru; Timothy Toroitich
2022/06/08
Wakili Timothy Toroitich, mwaniaji wa kiti cha ubunge kwenye eneo la Marakwet Magharibi ni miongoni mwa wagombea huru wengi waliojitokeza Kaskazini mwa Bonde la Ufa baada ya kutoridhishwa na matokeo ya shughuli ya uteuzi wa Chama cha UDA.
Faith Kutere amezungumza naye kuhusu safari yake ya siasa, idadi kubwa ya wagombea huru waliojitokeza nchini, ukosefu wa usalama kwenye Bonde la Kerio, mipango yake ya kisiasa iwapo atachaguliwa miongoni mwa masuala mengine.
Siasa Podcast. Lonyangapuo: Kibaki alinikuza kisiasa
2022/04/23
Wiki hii katika Siasa Podcast tunaangazia maisha ya Hayati Mwai Kibaki ambaye alikuwa Rais wa tatu wa Taifa la Kenya.
Kibaki anakumbukwa kuwa kiongozi aliyebuni mbinu mbalimbali za kuinua uchumi wa taifa na kukabili chagamoto zilizokumba taifa.
Aidha, alizipa nafasi jamii ambazo zilihisi kutengwa wakati wake nafasi uongozini.
Faith Kutere amezungumza na Gavana wa Kaunti ya Pokot Magharibi, John Lonyangapuo ambaye anadai kuwa safari yake ya kisiasa ilianza baada ya Mwai Kibaki kutambua jamii yake na kumpa nafasi ya kwanza ya uongozi akiwa Katibu Mkuu katika Wizara ya Viwanda.
Siasa Podcast; Ahadi za Raila na Ruto; watatekeleza? Maoni ya Wakenya
2021/10/16
Wakenya wanatoa maoni kuhusu ahadi za Raila Odinga na William Ruto. Baadhi wanasema ahadi zao ni ndoto tu huku wengine wakiwa na matumaini kwamba watatekeleza.
Aidha, Wakenya wameshabikia kuharamishwa kwa mpango wa Huduma Namba. Je, rufaa ya serikali itafaulu? Wanahabari wetu wameshiriki gumzo na Wakenya kuhusu masuala haya.
Siasa Podcast: Hatutaki Siasa Makanisani - Askofu Anthony Muheria
2021/09/13
Hatua ya Kiongozi wa Kanisa la Kianglikana, Jackson Ole Sapit kuwanyima fursa wanasiasa kuhutubu katika mimbari kwenye halfa aliyokuwa akiongoza katika Eneo Bunge la Butere, Kaunti ya Kakamega, imeendelea kuibua mijadala mikali.
Je, ndio mwisho wa maendeleo na ujenzi wa makanisa baada ya wanasiasa kunyimwa fursa ya kuzungumza mimbarini?
Mwanahabari wetu Victor Mulama amemhoji Askofu wa Kanisa Katoliki Dayosisi ya Nyeri Anthony Muheria ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Madhehebu la Kushughulikia Kanuni za Kuzingatiwa katika Maeneo ya Ibada.
Siasa Podcast; Uhuru asimnyanyase Ruto, asema Didmus Barasa
2021/08/27
Mbunge wa Kimilili, Didmus Barasa anasema kuwa uhusiano mbaya kati ya Rais Uhuru Kenyatta na Naibu wake, William Ruto ni kutokana na siasa. Katika mahojiano na Faith Kutere, Barasa anasema hatua ya Rais kumwambia Naibu wake ajiuzulu haifai.
Aidha, amepuuza uwezekano wa Ruto kuondolewa kupitia hoja ya kutokuwa na imani naye bungeni.
SIASA PODCAST: Mbona Raila anaogopwa Mlima Kenya? Wazee Wazungumza
2021/07/31
Tangu Kenya ipate uhuru, jamii za Luo na Agikuyu zimekuwa na uhasama mkali wa kisiasa na hata kwa wakati mmoja Rais wa kwanza Mzee Jomo Kenyatta akamweka kizuizini Jaramogi Oginga Odinga. Naye Rais Uhuru Kenyatta na Raila Odinga wamekuwa na makabiliano makali ya kisiasa hasa wakati wa kampeni kabla ya handshake. Lakini je, uhasama huu ulianzia wapi? Mwanahabari wetu John Mbuthia amezungumza na wazee wa jamii ya Agikuyu kuhusu suala hili wakijibu maswali ya chimbuko la uhasama baina ya jamii hizi mbili, kuendelezwa kwa uhasama huu kati ya Raila na Uhuru Kenyatta vilevile ushirikiano wa viongozi hawa wawili mbinu ikiwa kumkaribisha Raila kwenye eneo la Kati kutumia wafanyabiashara na wasanii wa Mlima Kenya.
SIASA PODCAST: Rais kuwateua majaji 34 na kuwaacha 6 inamaanisha nini?
2021/06/04
Baada ya kupuuza mashinikizo ya wanaharakati, wanasheria na mahakama, hatimaye Rais Uhuru Kenyatta amewateua majaji 34, huku akikosa kuwateua wengine 6. Hali hii imezidisha cheche za maneno dhidi ya Kenyatta. Je, mbona hajawateua majaji hao 6? Hatima yao ni gani? Mike Nyagwoka amelichambua suala hili kwa kina, vilevile suala la kukithiri kwa mgogoro baina ya Serikali Tendaji na Idara ya Mahakama.
SIASA PODCAST; Uchambuzi Kuhusu Mahakama Kuharamisha BBI
2021/05/22
Je, majaji wa Mahakama Kuu waliongozwa na sheria katika kutoa uamuzi wa kusimamisha mchakato wa kurekebisha katiba ama uanaharakati wa kisheria wanavyodai baadhi ya watu? Je, majaji walikuwa na hasira dhidi ya Rais Kenyatta na walimkosea heshima? Victor Mulama anasimulia...
Podcast reviews
Read Siasa podcast reviews
Podcast sponsorship advertising
Start advertising on Siasa relevant audience podcasts
You may also like to advertise on these Podcasts

4.4371061566
The Megyn Kelly Show
SiriusXM

4.888901269
Fearless with Jason Whitlock
Blaze Podcast Network

4.8118931000
Mind Pump: Raw Fitness Truth
Sal Di Stefano, Adam Schafer, Justin Andrews, Doug Egge

4.8102131585
Tara Brach
Tara Brach

4.541561215
Something You Should Know
Mike Carruthers | OmniCast Media

4.513841343
Strictly Anonymous Confessions
Kathy Kay

4.8292781897
Fantasy Footballers - Fantasy Football Podcast
Fantasy Football

4.62382612
Football Weekly
The Guardian

4.45387666
Two Judgey Girls
Two Judgey Girls

3.8258501152
The Viall Files
Nick Viall


