
Advertise on podcast: Ebenezer Revival International Ministry
This podcast has
42 episodes
Language
EnglishExplicit
No
Date created
2021/09/10
Latest episode
2025/12/08
Average duration
58 min.
Release period
50 days
Description
Karibu katika Kanisa la Ebenezer Revival International Ministry na Nabii Analyce Ichwekeleza. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Unlock Ebenezer Revival International Ministry podcast Email contact info,
Listeners & Audience details
Email contact information
Direct podcast contact details

Listeners
Audience numbers & engagement insights

Audience details
Podcast Insights

Podcast episodes
Check latest episodes from Ebenezer Revival International Ministry podcast
Aina & Nguvu Ya Sadaka - Nabii Analyce Ichwekeleza
2025/12/08
Jifunze aina tofauti za sadaka na nguvu iliyo ndani yake unapotoa kwa utii na imani. Ujumbe huu utakusaidia kuelewa namna sadaka inavyofungua baraka, ulinzi na upenyo wa kiroho.
PART 2 : Mbingu Yako Iwe Wazi - Nabii Analyce Ichwekeleza
2025/11/24
Endelea na sehemu ya pili ya mafundisho haya ya kina kuhusu mbingu zilizo wazi. Pokea ufunuo, nguvu na mabadiliko ya kiroho kwa ajili ya msimu wako mpya.
PART 1: Mbingu Yako Iwe Wazi – Nabii Analyce Ichwekeleza
2025/11/17
Jifunze msingi wa namna mbingu juu ya maisha yako zinafunguka na jinsi ya kuingia katika upenyo wa Mungu. Ujumbe huu utakusaidia kutembea katika kibali kipya.
Faida Ya Kulitendea Kazi Neno la Mungu Part 1 - Nabii Analyce
2025/02/10
Nabii Analyce anafundisha jinsi kutendea kazi Neno la Mungu kunavyoleta mabadiliko ya kweli, baraka, na ukuaji wa kiroho. Sikiliza ujifunze mbinu za kulitumia katika maisha yako ya kila siku na ugundue nguvu ya utii wa kiroho.
Nitainuka Tena - Nabii Analyce Ichwekeleza
2025/01/13
Leo tunachunguza nguvu ya ahadi inayosema, “Hata nikijikwaa, bado nitasimama tena.” Nabii Analyce anatufundisha jinsi imani yetu inaweza kutuimarisha tunapobitia majaribu na magumu. Tutajifunza kuwa mchakato wa kuanguka si mwisho wa safari, bali fursa ya kukua, kujifunza, na kugundua upya kusudi letu. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Juni ni Mwezi Wa Habari Njema - Nabii Analyce Ichwekeleza
2024/06/17
Mwezi wa sita malaika Gabriel alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, kumpa habari njema Mariamu. Jiunge nasi katika neno hili na ujifunze jinsi Mungu anavyoleta habari njema katika maisha yetu kupitia vyanzo mbalimbali. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Kupokea Sehemu ya Roho Aliyonayo Mtumishi wa Mungu - Nabii Analyse Ichwekeleza
2024/06/03
.2 Wafalme 2 : 1 - 18
Elia akamwambia Elisha, “Niambie unalotaka nikufanyie kabla sijaondolewa kwako.”
Elisha akamwambia, “Naomba sehemu maradufu ya roho yako.”
Elia akajibu, “Ombi lako ni gumu, hata hivyo utakipokea kipawa changu hicho ikiwa utaniona wakati nitakapoondolewa kwako; lakini usiponiona, basi hutapewa.”
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Kukua Kiroho (Part 2) - Nabii Analyce Ichwekeleza
2024/04/22
Kwa maana sisi ni matokeo ya kazi ya Mungu tulioumbwa katika Kristo Yesu, ili tuwe na matendo mema ambayo Mungu alikwisha andaa, tuishi katika hayo. (Waefeso 2:10) Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Kukua Kiroho - Nabii Analyce Ichwekeleza
2024/04/14
Kama vile watoto wachanga wanavyotamani maziwa, nanyi pia mnapaswa kuwa na hamu ya maziwa halisi ya kiroho, ili kwa nguvu yake mpate kukua na kukombolewa.
(1 Petro 2:2)
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Kuteka Baraka Za Wazazi (PART 2) - Nabii Analyce Ichwekeleza
2024/04/07
Ukweli ni kwamba, wazazi ni watu wa muhimu sana kwako bila kujali hali zao za kiroho. Wana upekee fulani katika maisha yako. Kwa maana kupitia wao,wewe ulizaliwa. Upekee huu ni kuhusu “baraka” ambazo Mungu ameruhusu kuziweka kwa wazazi wako. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Kuteka Baraka Za Wazazi - Nabii Analyce Ichwekeleza
2024/03/18
Waheshimu baba na mama yako upate baraka ( Waefeso 6:2-3). Kuna mambo mengine unayopitia ni kwa sababu mioyo ya wazazi wako ( wa kiroho au wa kimwili) imefunga! Ujue kufanikiwa kwako kutakuwa ni kugumu sana. Maana kuna watu ambao waliondoka nyumbani kwa wazazi au walezi wao kwa mafarakano kisha hawajarudi mpaka wazazi wamekufa,au hawajarudi mpaka leo. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Uzia Lazima Afe Umuone Mungu - Nabii Analyce Ichwekeleza
2024/02/26
Isaya 6 :1"Katika mwaka ule aliokufa mfalme Uzia nalimwona Bwana ameketi katika kiti cha EnziKilicho juu Sana na kuinuliwa Sana
KUNA WATU WANATAKIWA WAFE ILI UONE MAFANIKIO YAKO1.Yeyote alikufanya usione mafanikio katika biashara yako afe UONE2.Ikiwa Kuna mfalme Uzia katika Maisha YAKO afe umwone Bwana3.Nani anasimama kinyume na maombi yako afe ujibiwe
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Badilisha Mawazo Yako Ili Uishi Maisha Mazuri - Nabii Analyce Ichwekeleza
2024/01/29
"Na lo lote mtakaloomba katika sala, mtapewa, kama mna imani.” Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Nakataa Kuonewa - Pastor Marietta
2024/01/23
Kwa maana neema ya Mungu iletayo wokovu imedhihirishwa kwa watu wote. Neema hiyo inatufundisha kukataa uovu na tamaa za dhambi, tupate kuishi maisha ya kiasi, ya haki na ya kumcha Mungu, katika ulimwengu huu.
Tito 2:11-12
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Kuondoa Chochote Kinachokunyima Mwendo - Pastor Frank
2024/01/16
"Wautia mwaka taji ya mavuno mengi; hata njia ngumu hufurika kwa wingi. Mashamba ya nyika yanakuwa malisho mazuri, na vilima kuchanua kwa furaha. Malisho yamepambwa kwa makundi ya kondoo, na mabonde yameezekwa nafaka. Wote wanapiga kelele na kuimba kwa furaha!"
- Zaburi 65:11-13
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Podcast reviews
Read Ebenezer Revival International Ministry podcast reviews
Podcast sponsorship advertising
Start advertising on Ebenezer Revival International Ministry relevant audience podcasts
You may also like to advertise on these Podcasts

4.9248081459
Unashamed with the Robertson Family
Tread Lively

4.7106642000
FantasyPros - Fantasy Football Podcast
iHeartPodcasts

4.736031319
The Bonfire with Big Jay Oakerson and Robert Kelly
SiriusXM

4.732741988
The President's Daily Brief
The First TV

4.824771895
Deck The Hallmark
Bramble Jam Podcast Network

4.7368451296
Louder with Crowder
Louder with Crowder

4.810951799
Warchant Podcasts featuring Seminole Headlines
Warchant.com

4.814621658
The Big Honker Podcast
Andy Shaver & Jeff Stanfield

4.818402000
The Cabral Concept
Dr. Stephen Cabral

4.8121201000
Mind Pump: Raw Fitness Truth
Sal Di Stefano, Adam Schafer, Justin Andrews, Doug Egge