510595655
Nyumba ya Sanaa

Advertise on podcast: Nyumba ya Sanaa

Categories
Country
United States
This podcast has
25 episodes
Language
English
Publisher
RFI Kiswahili
Explicit
No
Date created
2012/03/14
Latest episode
2026/10/10
Average duration
21 min.
Release period
10 days

Description

Nyumba ya Sanaa ni Makala ya  Utamaduni ambayo inatoa fursa  kwa wasanii  na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.

Unlock Nyumba ya Sanaa podcast Email contact info,
Listeners & Audience details

Email contact information

Direct podcast contact details

Listeners

Audience numbers & engagement insights

Audience details

Podcast Insights

Social media

Check Nyumba ya Sanaa social media presence


Podcast episodes

Check latest episodes from Nyumba ya Sanaa podcast


Tanzania: Tamasha la marafiki festival mwaka wa 2026
2026/10/10
Wikendi hii tunaangazia msimu wa saba wa tamasha la marafiki festival. Tamasha linalolenga kutangaza utamaduni wa Tanzania.
Tanzania: Tunaliangazia kundi la Lumumba Theatre
2026/10/03
Lumumba Theatre  ni Kundi la Muziki wa Asili linalochanganya Midundo ya kisasa na ya zamani ili kupata Ladha Mpya, Tunaangazia kundi hilo katika makala ya n yumba ya Sanaa Juma hili.
Ushairi wa kisasa na Paul Mejooly
2026/09/19
Paul Mejooly alianza kutunga Mashairi akiwa Shuleni sasa ni Biashara inayomuingizia kipato, Tumezungumza naye kwenye Makala ya Nyumba ya sanaa.
Zanzibar: Taarab asilia na Qudara Gwingwi
2026/09/05
Egyptian Taarab hii Bendi ya Muziki wa taarab, mzizi wa muziki wa Taarab unaofahamika leo katika Mwambao wa Afrika Mashariki, hasa visiwani Zanzibar,katika Makala ya Nyumba ya Sanaa wiki hii utamsikia Qudra Gwingwi Muimbaji wa bendi hiyo.
Sanaa ya nyimbo za asili na kundi la hiari ya moyo
2026/08/22
Sanaa ya nyimbo za asili inaanzia mbali, tangu enzi za utawala wa kimila. Kutana na kundi la Hiari ya Moyo maarufu Mwanamile katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.
Tanzania: Muziki wa reggae Asilia na Ramadhani Yahaya Shaaban
2026/08/15
Ramadhani Yahaya Shaaban Mwanamuziki wa Reggae aliyechanganya na Vionjo vya kabilala Wazaramo anajivunia sanaa ya Muziki wa Asili Tanzania.
Uchoraji wa pembe (Qubical Drawings) na Maria Magige kutoka Daria Arts
2026/08/08
Uchoraji wa pembe(Qubical Drawings) ni sanaa inayozingatia uwasilishwaji wa ujumbe zaidi kuliko uhalisia wa picha. Katika makala ya Nyumba ya Sanaa juma hili tumezungumza na Maria Magige kutoka Daria Arts.
Tanzania: Uigizaji Radio na Kudra Kwingi
2026/08/01
Uigizaji Radio ni mbinu ya kisanii ya kusimulia hadithi, kutoa elimu, au kuburudisha kwa kutumia sauti pekee , Kudra Kwingi ni Miongoni mwa waigizaji wanawake wa mwanzo nchini tanzania anajivuia sana hii, katika Makala ya Nyumba ya Sanaa utamsikia.
Sanaa ya ucheshi na msani Abdul Chacha maarufu headmaster
2026/07/25
Sanaa ya ucheshi wima ni aina ya ucheshi unaotokana na tofauti za hadhi, mamlaka au nafasi za watu katika jamii huku mzaha ukitawala katika kuwasilisha Maudhui, Abdul Chacha maarufu headmaster ni msanii wa sanaa ya ucheshi.
Sanaa ya ucheshi na ukuzaji wa vipaji kwa vijana wa Tanzania
2026/07/25
Sanaa ya ucheshi wima ni aina ya ucheshi unaotokana na tofauti za hadhi, mamlaka au nafasi za watu katika jamii huku Mzaha ukitawala katika kuwasilisha Maudhui, Abdul Chacha maarufu Headmaster ni msanii wa sanaa hiyo Ungana na Steven Mumbi akizungumza na msanii huyo.
Sanaa ya muziki wa asili ya walega nchini DRC
2026/07/18
Nyumba ya sanaa juma hili imeangazia umuhimu wa kuwafundisha watoto lugha, usanii wamuziki za asili, na kujenga utamaduni wa kudumisha lugha za asili, mwanahabari wetu Reuben Lukumbuka anazungumza na msanii wa muziki za kilega, kutoka mjini Goma huko mashariki mwa Jamahuri ya kidemokrasia ya Congo Ngolis Mwindulwa Ngoma
Nyumba ya sanaa: Muziki wa Kifipa
2026/06/27
Wiki hii Steven Mumbi anazungumzia kuhusu muziki wa Kifipa
Joseph Issa Mohamed - Muigizaji wa Michezo ya Radio
2026/06/13
Joseph Issa Mohamed, maarufu Onyango Muigizaji wa Michezo ya Radio, anakumbukwa, katika Makala ya ya Nyumba ya Sanaa.
Muigizaji Nguli Bakari Mbelemba maarufu Mzee Jangala
2026/06/06
Muigizaji Nguli Bakari Mbelemba maarufu Mzee Jangala awataka Wasanii wachanga kutobweteka, Sikiliza Makala ya Nyumba ya sanaa.
Nyimbo na ngoma asili Bagamoyo Tanzania
2026/05/30
Wiki hii tunaangazia sanaa ya nyimbo na ngoma za asili katika Mji wa Bagamoyo nchini Tanzania.

Podcast reviews

Read Nyumba ya Sanaa podcast reviews


0 out of 5
0 reviews

Podcast sponsorship advertising

Start advertising on Nyumba ya Sanaa relevant audience podcasts


What do you want to promote?