
Advertise on podcast: SBS Swahili - SBS Swahili
Rating
5from
This podcast has
1019 episodes
Language
EnglishPublisher
SBSExplicit
No
Date created
2013/06/14
Latest episode
2026/09/28
Average duration
11 min.
Release period
1 days
Description
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Unlock SBS Swahili - SBS Swahili podcast Email contact info,
Listeners & Audience details
Email contact information
Direct podcast contact details

Listeners
Audience numbers & engagement insights

Audience details
Podcast Insights

Social media
Check SBS Swahili - SBS Swahili social media presence
Podcast episodes
Check latest episodes from SBS Swahili - SBS Swahili podcast
Nani hasa anaiendesha Australia, na una nafasi gani humo | Jinsi Australia Inavyofanya kazi
2026/09/28
Je, unajua nani anaweza kusaidia kuhusu kibali cha biashara, tatizo la upangaji nyumba, au msaada wa kifamilia? Kupitia hadithi za Fedele, Carol na Abeer, fahamu jinsi ngazi tatu za serikali nchini Australia zinavyofanya kazi. Jua majukumu ya serikali za mitaa, serikali za majimbo au maeneo ya utawala, na serikali kuu (ya shirikisho), pamoja na mahali pa kupata msaada.
"How Australia Works" ni podikasti ya SBS inayotumia hadithi halisi na maelezo ya wazi kukusaidia kuelewa jinsi serikali inavyofanya kazi nchini Australia, jinsi sheria zinavyotungwa na kubadilishwa, na jinsi unavyoweza kutoa maoni yako. Sikiliza mfululizo huu na upate matoleo mafupi zaidi katika lugha 60 kwenye ukurasa mkuu wa "How Australia Works".
Uko tayari ndani ya mfumo | Jinsi Australia inavyofanya kazi
2026/09/28
Je, serikali, sheria, na huduma za umma za Australia huathirije maisha yako ya kila siku? Kupitia matukio halisi, sehemu hii ya utangulizi ya mfululizo huu inakuonyesha pa kuanzia unapohitaji taarifa na msaada, pamoja na jinsi ya kupinga uamuzi.
"How Australia Works" ni podikasti ya SBS inayotumia hadithi halisi na maelezo ya wazi kukusaidia kuelewa jinsi serikali inavyofanya kazi nchini Australia, jinsi sheria zinavyotungwa na kubadilishwa, na jinsi unavyoweza kutoa maoni yako. Sikiliza mfululizo huu na upate matoleo mafupi zaidi katika lugha 60 kwenye ukurasa mkuu wa "How Australia Works".
Travelling safely in rural and remote Australia - Australia Yafafanuliwa:Kusafiri kwa usalama katika maeneo ya vijijini na yaliyo mbali nchini Australia
2026/09/28
Australia is a vast and diverse country to explore, but driving in rural and remote areas can involve conditions you may not encounter in cities. Knowing what to expect and how to prepare can help you travel more safely and confidently. - Australia ni nchi kubwa na yenye mambo mengi ya kuvutia ya kugundua, lakini kuendesha gari katika maeneo ya vijijini na yaliyo mbali kunaweza kuhusisha hali ambazo huenda usikutane nazo mijini. Kujua nini cha kutarajia na jinsi ya kujiandaa kunaweza kusaidia kusafiri kwa usalama zaidi na kwa kujiamini.
Mh Dkt Kosgei"Walemavu hawahitaji huruma, wanahitaji kulindwa kulingana na sheria na katiba ya Kenya"
2026/09/25
Mh Dkt Jackson Kosgei ni Askofu mstaafu, na kwa sasa ana hudumu kama mjumbe aliyeteuliwa katika bunge la Kenya.
Taarifa ya Habari:Serikali ya Shirikisho yazingatia hatua zakisheria dhidi ya shirika la OpenAI kwa uvujaji wa taarifa za Medicare
2026/09/25
Serikali ya Shirikisho inasema inazingatia hatua za kisheria dhidi ya OpenAI, baada ya mmoja wa mawakala wake kukiuka mfumo wa Medicare wa Australia mnamo Juni, wakati wa tathmini ya ndani ambapo mifumo yake ilikuwa ikitafiti matumizi ya matibabu ya umma.
Albert Mwangi Kuhusu African Australia film fest web
2026/09/25
Wanachama wa Jumuiya zawa Afrika wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika ukumbi wa maarufu wa Opera House na Events Cinema Parramatta, kushiriki katika tamasha ya kila mwaka ya filamu zaki Afrika kuanzia 3-6 Septemba.
Noel"ripoti hii ina ushahidi wamambo mazuri tunayo fanya kuliko wanasiasa na vyombo vya habari vinavyo sema"
2026/09/25
Shirika la African Australian Advocacy Centre (AAAC), lili zindua ripoti inayo weka wazi michango yawa Australia wenye asili ya Afrika kwa taifa hili usiku wa Jumamosi 19 Septemba 2026.
Dkt Jane "kuna wakati ukienda dukani mlinzi anakufuata fuata, tofauti na wateja wengine ambao si weusi"
2026/09/22
Shirika la African Australian Advocacy Centre, lili zindua ripoti inayo weka wazi michango yawa Australia wenye asili ya Afrika kwa taifa hili usiku wa Jumamosi 19 Septemba 2026.
Taarifa ya Habari:Wachumi wasema ripoti ya Serikali kuhusu Vizazi inaonyesha kuwa uchumi utazidi kutegemea ukuaji wa tija katika miongo ijayo
2026/09/22
Wanauchumi wanasema kuwa Ripoti ya hivi karibuni ya Serikali kuhusu Vizazi (Intergenerational Report) inaonyesha kuwa uchumi utazidi kutegemea ukuaji wa tija katika miongo ijayo.
Harrison "inabidi tupeleke tamasha hili katika zingine za kanda hili"
2026/09/22
Wanachama wa Jumuiya zawa Afrika wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika ukumbi wa maarufu wa Opera House na Events Cinema Parramatta, kushiriki katika tamasha ya kila mwaka ya filamu zaki Afrika kuanzia 3-6 Septemba.
Taarifa ya Habari: Wito watolewa kutokomeza unyanyasaji wa nyumbani nchini Australia
2026/09/21
Ripoti mpya kati ya vizazi imetolewa leo, ikionyesha athari za bajeti ya serikali na mitazamo ya uchumi katika miongo minne ijayo.
Naibu Kamishna wa Polisi wa New South Wales Peter McKenna anasema matukio manne tofauti yanayodaiwa kuwa ya unyanyasaji wa nyumbani mwishoni mwa wiki iliyopita yanaonyesha uzito wa janga hilo nchini Australia. Katika tukio lililo ripotiwa katika eneo la Blue Mountains, mvulana wa miaka mitano alikufa, na ndugu zake wawili na mama yake mwenye umri wa miaka 42 walijeruhiwa vibaya baada ya kupatikana na majeraha ya kudungwa visu ndani ya gari katika eneo la Valley Heights.Kenya imetetea makampuni ya ndani yanayoagiza mafuta yaliosafishwa chini ya makubaliano ya serikali kwa serikali, siku chache baada Kampala kudai kuwa mpango huo ulikuwa umetekwa na madalali hali iliyopelekea kupanda kwa bei ya mafuta nchini Uganda. Kwa mujibu wa taarifa ya Waziri wa nishati nchini Kenya, Opiyo Wandayi, kampuni kubwa tatu za mafuta katika nchi za Ghuba zinazouza mafuta yake nchini Kenya, zilichagua kampuni za ndani katika mpango huo na kwamba ikiwa serikali ingesisitiza kuchagua makampuni hayo basi mpango huo ungekufa.Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.
Yaliyojiri Afrika: Human Rights Watch "Ukosefu wa uchunguzi wa kina na kufunguliwa mashtaka dhidi yawahusika kunaweza endeleza uhalifu nchini Kenya"
2026/09/18
Shirika lakutetea haki za binadam la Human Rights Watch lime onya kuwa, makundi ya watu wenye silaha yame endesha mifululizo yamashambulizi dhidi ya mikutano yakisiasa na shughuli za mashirika yakiraia katika maeneo mbalimbali nchini Kenya.
Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho inatetea hatua yake kali ya uhamiaji inayo imarisha sheria kwa wanafunzi wakimataifa na watalii
2026/09/18
Serikali ya shirikisho inatetea hatua yake kali ya uhamiaji, ambayo inaimarisha sheria kwa wanafunzi wa kimataifa na watu ambao wako nchini kwa likizo, inalenga wanao baki nchini zaidi ya muda wa viza zao na wanaohama kutoka viza moja hadi nyingine, na inawapa kipaumbele wafanyakazi wenye ujuzi katika sekta muhimu.
SBS Learn Eng Ep 119 Jinsi yakuzungumza kuhusu mizio ya majani
2026/09/18
Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu mizio ya majani?
Makala Leo:Ukandamizaji wa uhamiaji: Labor yaimarisha sheria za viza kwa wanafunzi na watalii
2026/09/18
Serikali imefichua mpango wake wa kupunguza uhamiaji halisi wa nje ya nchi hadi watu 225,000 ifikapo 2028, kulingana na utabiri kutoka bajeti ya Mei.
Podcast sponsorship advertising
Start advertising on SBS Swahili - SBS Swahili relevant audience podcasts
You may also like to advertise on these Podcasts

4.813842000
Daily Tech News Show
Tom Merritt

4.8104492000
Steve Deace Show
Blaze Podcast Network

4.8258691482
Relatable with Allie Beth Stuckey
Blaze Podcast Network

4.858221907
Sara Gonzales Unfiltered
Blaze Podcast Network

4.922301819
The Ten Minute Bible Hour Podcast
Matt Whitman

4.824771860
Deck The Hallmark
Bramble Jam Podcast Network

4.916161609
The Kristian Harloff Show
Kristian Harloff

4.917101543
DarrenDaily On-Demand
Darren Hardy LLC

4.6221632000
Mark Levin Podcast
Cumulus Podcast Network

4.737121980
The Eric Metaxas Show
Metaxas Media
