1573212087
Maisha Ni Kuthubutu Podcast

Advertise on podcast: Maisha Ni Kuthubutu Podcast

This podcast has
118 episodes
Language
English
Explicit
No
Date created
2021/06/21
Latest episode
2026/04/18
Average duration
10 min.
Release period
49 days

Description

Podcast mahususi kujifunza mambo ya maendeleo binafsi (Personal development/Self-improvement), maisha, mahusiano, saikolojia na elimu ya fedha. Ni podcast ya kipekee ambayo utajifunza mambo mengi ambayo yanatokea kwenye maisha yetu ya kila siku, kila kitu kinachozungumzwa hapa kina uhalisia na siyo nadharia ya kusadikika. Kuwa sehemu ya familia hii na uhakika hautakuwa kama ulivyokuwa mwanzo, podcast ambayo itaboresha na kuongeza thamani ya maisha yako mara 10X au zaidi. Hakikisha unafollow ili uwe wa kwanza kupata episode mpya kila wiki.

Unlock Maisha Ni Kuthubutu Podcast podcast Email contact info,
Listeners & Audience details

Email contact information

Direct podcast contact details

Listeners

Audience numbers & engagement insights

Audience details

Podcast Insights

Podcast episodes

Check latest episodes from Maisha Ni Kuthubutu Podcast podcast


Je Unapata Hali Ya Kukata Tamaa? Sikiliza Episode Hii Itakupa Mwanga Na Hamasa….!
2026/04/18
Kama unapumua basi unayo nafasi ya kubadili maisha yako, usichoke endelea kupambana. Sikiliza episode Hii ujifunze mengi
Je Unataka Kuwekeza Katika Hisa? Pata Elimu Ya Hisa Hapa-Part 01
2025/04/14
Je wewe ni mwanahisa na una hisa zozote unamiliki katika soko la DSE? Kama jibu lako ni hapana. Basi… Ndio muda sahihi wa kuanza kuwekeza katika hisa ili ufaidikie na faida kubwa mbili; 1. Ongezeko la mtaji (Capital gain). 2. kupata gawio (Divindend). Lakini… Kabla ya kutaka kuwekeza katika hisa hakikisha unakuwa na maarifa sahihi kuhusu hisa ili usije ukapigwa za uso. Bahati nzuri ni kwamba… Podcast bora ya kitanzania itakupa mwanga namna ya kujua mambo mengi kuhusu hisa. Ni wewe kufollow na subscrible ili uwe wa kwanza kusikiliza mfululizo wa episode za elimu ya hisa na mambo mbalimbali… …ya uwekezaji na maendeleo binafsi. Huu ni utangulizi kiduchu, madini mengi utapata kwa kubofya link hapa chini kusikiliza madini mazito ya uwekezaji katika hisa.
Siri 02 Za Kuanza KUJIUZA Ili Ufanikiwe Kwenye Maisha Yako Ni Kujiuza…!
2025/03/18
Jifunze mbinu za Kujiuza kupitia episode ili upige hatua kwenye maisha yako. Sikiliza mpaka mwisho episode hii.
Tumia Kanuni Ya 40/20/10/10/10/10 Kupanga Bajeti Ya Fedha Zako…!
2025/03/15
Kanuni ya 40/20/10/10/10 itakusaidia kuanza kupanga bajeti ya fedha zako kwa mafanikio. Sikiliza episode hii mpaka mwisho kujifunza.
Siri 02 Za Kuwa Mwekaji Mzuri Wa Akiba Ya Fedha Zako…!
2025/01/30
Upo tayari kujua Siri za kuwa mwekaji mzuri wa akiba za fedha zako? Basi sikiliza episode hii mpaka mwisho
Sehemu 06 Za Kuanza Kuwekeza Fedha Zako Kwa Mafanikio…!
2025/01/26
Hizi sehemu 06 ambazo unaweza kuanza kuwekeza akiba yako ili ikuzalishie zaidi.
Jinsi Ya Kuweka Akiba Kwa Mafanikio Mwaka 2025…!
2025/01/21
Je unataka kujua kwa namna gani unaweza kuweka akiba kwa mafanikio mwaka 2025? Episode hii itakueleza mbinu 04 ambazo ukianza kuzifanyia kazi basi utakuwa mwekaji mzuri wa akiba. Usikubali mwaka 2025 uishe bila ya kuweka akiba. Kwa sababu… Kama wao wanaweza kwanini wewe ushindwe? Jibu kwamba unaweza kama utafanyia kazi maarifa ambayo utajifunza katika episode hii. Chukua hatua sasa
Tumia Kanuni Ya 40/30/20/10 Kupanga Bajeti Ya Fedha Zako...!
2024/08/13
Anza kuelekea uhuru wako wa kifedha Kwa Kuanza Kupanga Bajeti Ya Fedha Zako Kwa kutumia Kanuni ya 40/30/20/10.
Maneno 04 Ambayo Ukianza Kutumia Leo Yatafanya Ukubalike Zaidi...!
2024/07/30
Maneno Yako Yana nafasi kubwa ya kufanya Ukubalike au ukataliwe kwenye eneo lolote. Sikiliza episode hii ujue maneno 04 Ambayo Yatafanya Ukubalike Zaidi.
Jinsi Ya Kuweka Akiba Ya Fedha Zako...!
2024/07/23
Anza kuweka akiba Leo kama unajali kesho na future Yako. Sikiliza episode hii mpaka MWISHo ujue kila kitu Kuhusu namna ya kuweka akiba
Tumia Kanuni Ya 70/20/10 Kulipa MADENI Yako Na Kuweka Akiba Ya Fedha Zako...!
2024/07/16
Je Unataka Kulipa MADENI Yako na wakati huohuo unaweka akiba ya fedha zako? Basi sikiliza episode kujua Kanuni ya 70/20/10
Tumia Kanuni Ya 50/10/10/10/10/10 Kupanga Bajeti Ya Fedha Zako...1
2024/07/10
Kanuni ya 50/10/10/10/10/10 itakusaidia Kuanza Kupanga Bajeti Ya Fedha Kiurahisi. Anza kuitumia Leo.
Hivi Unajua Wewe Una Nguvu Ya Sumaku Ndani Yako...?
2024/07/04
Inakushangaza kusikia kauli ya kuwa "WEWE NI SUMAKU" sikiliza episode hii ujifunze na uje ukweli wote.
Sehemu Tatu (03) Ambazo Hupaswi Kuweka Akiba Yako Ya Malengo Ya Muda Mrefu...!
2024/06/30
Kama unajali kesho Yako na kuelekea uhuru wa kifedha basi suala la kuweka akiba ni lazima. Lakini.... Kuna makosa ambayo wengi hufanya Katika uwekaji wa akiba zao na pengine na wewe unafanya. Akiba ya malengo ya muda mrefu haipaswi kuwekwa kwenye; 1. Kibubu, 2. Taasisi za kibenki, 3. Chini ya godoro 4. Mitandao ya simu. Unajiuliza kama sipaswi kuweka huku niweke wapi akiba zangu? Swali zuri, ni hivi... Weka akiba Yako kwenye; 1. Mifuko ya pamoja, 2. Hatifungani za serikali, 3. Hisa, Hata hivyo kuelewa Kwa kina basi bofya link hapa chini sasahivi uanze kujifunza Kama bado hujaanza kuweka akiba hujachelewa, Unaweza Kuanza Leo kujali kesho Yako kwa kuweka akiba
Tumia Kanuni Ya 60/10/10/10/10 Kupanga Bajeti Ya Fedha Zako.
2024/06/02
Haijalishi wewe ni mpambanaji kiasi gani kama hauna msingi mzuri wa elimu ya fedha. Basi kuna uwezekano mkubwa utapambana sana ila kiuchumi inakuwa vigumu kukua. Kwa sababu... Umekosa nidhamu ya pesa ambayo ni muhimu kuwa nayo kama unataka kufanikiwa katika eneo la fedha. Kwahiyo... Ukianza kupanga bajeti ya fedha zako inakuwa rahisi kurekodi matumizi yako ya siku, wiki, mwezi, miezi n.k. Kwa kujua kwanini pesa zako zinaenda pale na siyo hapa na kwanini hapa na siyo kule. Kwa sababu bajeti inakusaidia kurekodi na kujua mtuririko wa matumizi yako. Swali linakuja, Je, wewe unapanga bajeti ya fedha zako au kikubwa uhai? Basi... Leo na habari njema kwako kwamba kupitia Kanuni ya 60/10/10/10/10 utaweza kuwaga fedha yako Katika makundi matano; 1. Kutumia kwenye matumizi ya lazima (Basic needs) 2. Kutumia kwenye starehe na burudani (Wants), 3. Kuweka akiba na uwekezaji (Saving and investing), 4. Kutoa fungu la kumi, 5. Kuweka fedha ya dharura (Emergency fund). Hivyo basi... Kanuni ya 60/10/10/10/10 kuilewa vizuri ni wakati sahihi wa kusikiliza episode ya 42 ya ujazo imeeleza kila kitu na mifano kama yote. Ushindwe wewe tu... Chukua hatua Sasa Kwa kubofya link hapo chini sasahivi kusikiliza madini.

Podcast reviews

Read Maisha Ni Kuthubutu Podcast podcast reviews


0 out of 5
0 reviews

Podcast sponsorship advertising

Start advertising on Maisha Ni Kuthubutu Podcast relevant audience podcasts


What do you want to promote?