
Advertise on podcast: Habari RFI-Ki
Rating
5from
This podcast has
35 episodes
Language
EnglishPublisher
RFI KiswahiliExplicit
No
Date created
2012/03/14
Latest episode
2026/09/25
Average duration
10 min.
Release period
2 days
Description
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
Unlock Habari RFI-Ki podcast Email contact info,
Listeners & Audience details
Email contact information
Direct podcast contact details

Listeners
Audience numbers & engagement insights

Audience details
Podcast Insights

Social media
Check Habari RFI-Ki social media presence
Podcast episodes
Check latest episodes from Habari RFI-Ki podcast
Hatua ya rais Salva Kiir kuvunja serikali ya mpito kuelekea uchaguzi wa Disemba
2026/09/25
Wafanyakazi wa umma hadi elfu 10 nchini Kenya walipata ajira kwa udanganyifu
2026/09/24
Idadi kubwa ni wale ambao wameajiriwa na bunge na tume ya uchaguzi na mipaka
Viongozi wa dunia wanakutana wiki hii kwa kikao cha kila mwaka cha UNGA
2026/09/23
Idadi kubwa ni wale ambao wameajiriwa na bunge na tume ya uchaguzi na mipaka ,IEBC.
Siku ya kimataifa ya Amani inamaana kwa wananchi wengi ?
2026/09/22
Maoni yako kuhusu maangazo yetu juma hili
2026/09/19
Kila Ijumaa rfi Kiswahili inakuja nafasi kuchangia mada yoyote kwenye kipindi cha Habari Rafiki.
Kenya kuandaa mashindano ya riadha ya dunia
2026/09/18
Kenya imeteuliwa kuandaa mashinda ya dunia ya riadha.
Skiza maoni ya mskilizaji.
DRC : Upinzani wapinga mpango wa serikali kubadili katiba
2026/09/16
Upinzani nchini DRC wapinga mpango wa serikali kurekebisha katiba
Shabarikiliza maoni ya mskilizaji .
Kenya : Raia wa Burundi wazidi kuondoka nchini Kenya
2026/09/16
Raia wa Burundi wanaofanya baishara ndogondogo nchini Kenya, wamendelea kuondoka nchini humo kutokana tangazo la rais William Ruto kuwataka wageni kusajili biashara zao.
Skiza maoni ya mskilizaji.
EAC : Mvua za El Nino zatarajaiwa
2026/09/14
Darubini yetu inalenga kanda ya Africa Masharaiki ambapo watalaam wa utabiri wa hali ya hewa wanaonya kuwa nchi za Afrika Mashariki na Kati, zitashuhudia EL Nino kati ya mwezi Oktoba hadi Desemba, ambako mvua kubwa inatarajiwa kunyesha.
Umejiandaa vipi kukabiliana na EL Nino ?
Skiza maoni ya mskilizaji.
Maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kuhamasisha kuzuia visa vya watu kujiuwa.
2026/09/10
Shirika la afya duniani WHO linasema watu laki 7 na elfu 20 hujitoa uhai kila mwaka.
Kujiua ni kati ya sababu tatu kuu ya vifo miongoni mwa vijana wenye umri wa miaka 15–29.
Matumizi ya AI, UN yataka makampuni ya yanayotengeneza teknolojia hiyo kupunguza hatari yake
2026/09/10
Mkuu wa ofisi ya tume ya haki za binadamu ya umoja wa Mataifa, Volker Turk, hapo jana ameonya kuwa akili unde inaweza kuwa tishio kwa binadam.
Kauli ya Rais wa Kenya William Ruto kuhusu wafanyabiashara wadogowadogo wa kigeni
2026/09/07
Rais akisema wafanyabiashara wa ndani wanahitaji kulindwa. Agizo lake limeibua mjadala kuhusu nafasi ya wageni katika biashara ndogo nchini Kenya.
Maoni ya waskilizaji wiki hii ambapo raisi wa Zambia Hakainde Hichelema aliapishwa
2026/09/05
Vitendo vya utekaji wa wanahabari katika nchi za Afrika Mashariki
2026/09/05
Wafungwa wa kisiasa nchini Tanzania na Uganda wanapambikiziwa kesi?
2026/09/05
Podcast sponsorship advertising
Start advertising on Habari RFI-Ki relevant audience podcasts
You may also like to advertise on these Podcasts

4.917101543
DarrenDaily On-Demand
Darren Hardy LLC

4.549032000
The Daily Stoic
Daily Stoic | Backyard Ventures

4.6221632000
Mark Levin Podcast
Cumulus Podcast Network

4.737121980
The Eric Metaxas Show
Metaxas Media

4.682401276
The Daily Beast Podcast
The Daily Beast, Joanna Coles

4.834891999
Conservative Review with Daniel Horowitz
Blaze Podcast Network

4.87687824
Monsters Among Us
Derek Hayes | Audioboom Studios

4.827571695
Earn Your Happy
Lori Harder | YAP Media

4.89021965
Catholic Sprouts: Daily Podcast for Catholic Kids
Nancy Bandzuch

4.847052000
Pat Gray Unleashed
Blaze Podcast Network

